SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Diamond Platnumz & Tanasha Donna First Red Carpet Appearance
Mitindo

Diamond Platnumz & Tanasha Donna First Red Carpet Appearance 

Okay Afromates tulishawahi kuongelea muonekano wa Diamond Platnumz na mchumba wake wa sasa kwamba hairidhishi, the girl is 23 years old for God Sake tunatamani angekuwa anajaribu kuji push kuwa na muonekano mzuri unaoendana na umri wake na body yake, she is too pretty but too regular kwenye mavazi as for Diamond we cant complain amechukua mikoba ya stylist wake Q Boy ( Messy looks)

Well hii ni mara ya kwanza kwa wawili hawa ku-attend katika red carpet pamoja na sisi tupo hapa kuongelea muonekano wao.

Lets Start na Tanasha, This dress is so good but not for her, kwanza kabisa kifuani haija mtosha tuna uhakika alikuwa anahangaika kupandisha hii nguo mara kwa mara, this reminds us na msemo usemao if it doesn’t fit don’t force it, lakini pia ingependeza zaidi kama ingekuwa ndefu au wangetoa hii extra plain kitambaa chini yaani ibaki hii blue dress fupi ya juu ila hii imekuwa ina hang – hang yaani haijakamilika. But otherwise she did good, pretty hair, nice accessories, makeup on point we are glad to see her in different shoes.

Diamond yeye alikuwa fine we are so used na hii look yake, lakini its about time sasa aanze kuvaa suruali zinazofika chini like bro give us something different 2019, vingine vyote classic.

Kwetu tunawapa 50/50 hawaja WOW wala hawajakosea sana tunaweza kusema vuguvugu for first appearance the fashion community deserved more than this.

Well Afromates let us know your views ninyi mnaonaje huu muonekano wao?

Related posts

6 Comments

  1. best weed websites

    … [Trackback]

    […] Here you will find 51240 additional Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/diamond-platnumz-tanasha-donna-first-red-carpet-appearance/ […]

  2. wavy cap mushrooms ireland

    … [Trackback]

    […] Read More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/diamond-platnumz-tanasha-donna-first-red-carpet-appearance/ […]

  3. roof skylight

    … [Trackback]

    […] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/diamond-platnumz-tanasha-donna-first-red-carpet-appearance/ […]

  4. buy benelli shotguns

    … [Trackback]

    […] Read More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/diamond-platnumz-tanasha-donna-first-red-carpet-appearance/ […]

  5. Your Domain Name

    … [Trackback]

    […] Here you will find 22310 more Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/diamond-platnumz-tanasha-donna-first-red-carpet-appearance/ […]

  6. 다시보기

    … [Trackback]

    […] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/diamond-platnumz-tanasha-donna-first-red-carpet-appearance/ […]

Comments are closed.