SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Diana Flave Transformation Done By Stylist Macrida Joseph Is Admirable
Mitindo

Diana Flave Transformation Done By Stylist Macrida Joseph Is Admirable 

Tunapenda kuona watu wakijaribu, tunapenda kuona mabadiliko katika fashion industry yawe ya mtu mmoja mmoja, wabunifu, models, stylist etc ilimaradi tu tuone mabadiliko na mabadiliko hayo yawe ya kuboresha, well stylist anakuja kwa kasi ambae alianza kama model, Macrida Joseph week hii ametufanyia surprise kwa kumfanyia makeover miss Tanzania 2016 Diana Flave

Diana ni miss Tanzania ambae amekuwa aki-make headlines kutokana na choices za mitindo yake kutokuwa ya kuridhisha lakini seems like Macrida amelijua hilo na kumpiga msasa wa nguvu.

Tumeona picha zake nne ambazo zote tumezifurahia, tumekuwa tukisema mara kwa mara Diana ni mzuri na anaumbo zuri sana lakini tu hajajua kujipatia, tungependa kumuona Diana hivi mara kwa mara.

  • Prints Pants & Crop top 

Diana giving us major summer vibes in white crop top ambayo alivalia na short pant yenye rangi ya kijani na nyeupe akamalizia na viatu vyeupe, juu aliweka bob hair style.

  • Monochrome Two Pieces 

Stripe it up, Diana alivaa hizi monocrome stripes two pieces ambapo zilikuwa ni stripes za vertical and horizontal ambazo wamezichanganya pamoja. showing legs in her short pants juu akiwa amevaaa top na blazer amemalizia muonekano wake na miwani na viatu vyeupe huku akiwa amebeba small handbag. We love the creativity here sometimes you got to go extra.

  • Sexy Cowgirl 

its okay to be different, hapa amekuwa styled akiwa amevaa ruffle skirt nyekundu, blouse nyeupe akiwa amemalizia na hat nyeusi na knee boots nyeusi.

  • Bring The Sexiness To The Market 

Wengi watasema nani anavaa hivi sokoni? kwa soko gani hapa Tanzania? relax its a photo shoot, hapa alivaa crolar crop top, washed blue jeans akamalizia na big hat ( trending) na lace heels. We looove this look on her.

Tuambie wewe outfit ipi amekukosha zaidi?

Photo Credit @_calvin.k

 

Related posts

6 Comments

  1. Psilocybin Mushroom online

    … [Trackback]

    […] Find More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/diana-flave-transformation-done-by-stylist-macrida-joseph-is-admirable/ […]

  2. Peach Mintz 3.5g Flower

    … [Trackback]

    […] There you will find 12907 more Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/diana-flave-transformation-done-by-stylist-macrida-joseph-is-admirable/ […]

  3. DMT Vape Pens For Sale Victoria

    … [Trackback]

    […] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/diana-flave-transformation-done-by-stylist-macrida-joseph-is-admirable/ […]

  4. wapjig.com

    … [Trackback]

    […] Find More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/diana-flave-transformation-done-by-stylist-macrida-joseph-is-admirable/ […]

  5. รีวิว vivo v29 5G

    … [Trackback]

    […] There you can find 7709 more Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/diana-flave-transformation-done-by-stylist-macrida-joseph-is-admirable/ […]

  6. cocaine vendor online

    … [Trackback]

    […] Find More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/diana-flave-transformation-done-by-stylist-macrida-joseph-is-admirable/ […]

Comments are closed.