SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Did Miriam Odemba Slayed Or Played At Cannes Film Festival?
Mitindo

Did Miriam Odemba Slayed Or Played At Cannes Film Festival? 

Moja kati ya wanamitindo bora kabisa kutoka Tanzania, ambae huwa anapata nafasi ya kukanyaga katika red carpet ya Cannes Film Festival ni mwanadada Miriam Odemba. Miriam ni zao kutoka Tanzania ambalo tunajivunia kuwa nalo. Kama ambavyo tunajua Cannes Film Festival inaendelea huko kwa wenzetu na tumepata kuona Mwanadada kutoka Ghana akiwa amehudhuria lakini Tanzania haikubaki nyuma Miriam ametuwakilisha na hizi ndizo outfit zake za mwaka huu.

Siku ya kwanza Miriam alivaa hii old & black dress kutoka kwa Dress by @kimktorza @diamant_blanc , the dress is gorgeous, ime fit vizuri waist snatched, ukilinganisha na mtoko wake wa mwaka jana tunadhani mwaka huu ame improve tunapenda tulicho kiona

The dress is backless,

Amerudi kwenye Odemba style yake kwa kunyoa upara ambao alienda nao hivohivo kwenye red carpet hii we cant complain she has a beautiful face na kichwa kizuri cha upara, Make up done by @kfryn974.20, we are so not feeling this make up labda kwa sababu ya upara au something ila tunaona haija fit hapa.

Siku ya pili katika The Wild Pear Tree Premiere alivaa a dress X jumpsuit outfit ya black na nude,

we would love it more as a jumsuit inge make more sense, siku hii ya pili aliamua kuvaa afro wig na her perfect calm makeup done by @lorealmakeup. siku hii alikuwa Styled by @vyck7 na  @kimcyjl.

The cannes is all about making statement ukituuliza kama Miriam ame slay the Cannes mwaka huu tutachukua outfit ya kwanza we lovelove the dress tunatamani makeup ingekuwa vyema kidogo, outfit ya pili ipo okay haiongei much na the hair isn’t working to us so much is going on between the jumpsuit x dress and the afro wig haijatulia yet makeup nayo ni dark haja shine at all katika siku ya pili. Well she slayed day one and played day two.

Haya tupe maoni yako wewe umeonaje?

Related posts

3 Comments

  1. Watermelon Sherbert 1.5g High Roller Pre-Roll

    … [Trackback]

    […] Find More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/did-miriam-odemba-slayed-or-played-at-cannes-film-festival/ […]

  2. Cambodian Magic Mushrooms for sale uk

    … [Trackback]

    […] Find More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/did-miriam-odemba-slayed-or-played-at-cannes-film-festival/ […]

  3. 늑대닷컴

    … [Trackback]

    […] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/did-miriam-odemba-slayed-or-played-at-cannes-film-festival/ […]

Comments are closed.