Mwaka huu mwanzoni Dior wali debut T-shirt yenye maneno ‘We Should All Be Feminist” ambayo ilivaliwa sana yaani baada ya kuonekana tu kwenye runway hayakupita masaa mengi watu wakaonekana kuvaa mitaani tunaweza kusema ni moja ya vazi lililo kiki sana
Collection yake hio ilikuwa na T-shirts nyingi zenye maneno ya ku- encourage wanawake na zilipendwa sana, imeonekana Dior bado wana endeleza hili baada ya Collection yao mpya ya Spring 2018 kufungiliwa na T-shirt yenye maandishi “Why Have There Been No Great Women Artists?” wanauliza kwanini hakuja wahi kuwa na wasanii wazuri wakike?
inaweza kuonekana kama offensive kwa wasanii wazuri wakike waliopo katika industry lakini pia ni kama utetezi kwa wanawake kwa sababu wale ambao wanaonekana ni wazuri ni wachache kuliko wanaume walio kuwepo lakini pia Dior ili neno amelitoa katika historia.
Women Magazine wameandika “Her point was groundbreaking for 1971, a time when feminists’s (understandable) response to claims of women’s lack of talent was to”dig up examples of worthy or insufficiently appreciated women artists throughout history”—and therefore “tacitly reinforce” the question’s negative implications. Thankfully, though, these days, we can see the bigger picture—and Chiuri can harmlessly shine a light on those like de Saint Phalle, who was omnipresent throughout Dior’s show, starting with a giant quote by the artist emblazoned across its towering entrance. Inside, there was clear homage paid to de Saint Phalle, too, and particuarly to her Tarot Garden, an expansive sculpture garden that she built atop of Etruscan ruins decades ago in Tuscany to precisely demonstrate that women, too, could work on a monumental scale.
Matumaini yetu umeelewa nini Dior wanafanya all we can say is Keep Doing What You Doing Dior, The World Need It”
Related posts
2 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/dior-new-feminist-t-shirt-for-spring-2018/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/dior-new-feminist-t-shirt-for-spring-2018/ […]