SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Do And  Dont’s When Wearing Designer Labels
Mitindo

Do And Dont’s When Wearing Designer Labels 

Tumeona watu maarufu wengi kwa sasa wanapenda kuvaa designer labels wawe wale wa #nofakezone au wa #fakeittillyoumakeit wote kwa pamoja wameonekana kuvutiwa na kuvaa designer labels na kwasasa katika ulimwengu wa mitindo kinachotamba ni kuvaa hizi labels ukiingia mitandaoni utakuta watu maarufu wa nje wanapenda kuvaa hivi, leo tunakuletea do & don’t katika trend hii

  • Vaa Jina Moja Tu 

Usichanganye Brand kama umevaa Mustafa Hassan Ali basi vaa huyohuyo usiongeze na Martin Kadinda au Ally Rehmtulla. Ukichanganya utafanya brand zi-compete, na utaonekana umechanganya mambo mengi kumbuka kuna kesho utamvaa Ally, utamvaa Martin na wote.

  • Vaa Small Designer Accessories 

Kama utavaa designer tofauti au si mpenzi wa kuvaa designer full na kuonekana kwamba umevaa full designer unaweza kuchagua accessories ndogo ndogo ukavaa kama socks, bracelets, mkanda, miwani, etc.

  • Be Unique 

Wakati mwingine huitaji kupiga kelele kwamba umevaa designer logo, kama fashionista Shiona Turini hapo juu amevaa crop top, trench coat kutoka kwa brand ya Channel lakini hazina logo yake ya sisi ku notice ila amemake a statement na hiko kijibag alicho kibeba hapo mkononi cha Channel.

 

Related posts