SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Does Fashion Knows Age?
Mitindo

Does Fashion Knows Age? 

Tunaishi katika ulimwengu ambao kila kitu kina limit yake,ukifikia umri fulani basi kuna baadhi ya vitu vinapashwa uviache kwa maana umri wako wa kutumia hivyo vitu umepita, kuna vile ambavyo vina make sense na kuna vile ambavyo vinatufanya tufikirie mara mbili kweli usifanye kitu fulani sababu tu umekuwa mkubwa? Leo ambalo tumeliona ni kuhusu fashion na umri, does fashion knows age? Je kuna mitindo haifai ukifika umri fulani?

Kama ume notice kuna umri fulani ambao fashion huwa ina fade hasa pale unapo fikia uzee kuanzia miaka 50 kwenda mbele wengi hapa huwa wanajizuia kuvaa mavazi aina fulani kwa sababu tu labda umri umeenda au unaweza kusikia jamani si anawajukuu yule kwanini ana vaa vile? the question is why not?

Hivi karibuni tumeona watu wakiwa wanamwambia mama Diamond mavazi aliyoyavaa hayamfai umri umeshakwenda

 

lakini ni hao hao utawakuta kwa mama yao Kim Kardashian, Kris Jenner akiwa amevaa labda sawa au zaidi ya alivyovaa mama Diamond na wakaandika #fashiongoals au #agegoal unabaki na kuwaza kwanini mama Diamond aambiwe umri umeenda halafu Kris Jenner iwe tofauti?

 • Watu wazima wana haki ya kuvunja sheria

Age can’t hold you down if you like it wear it as long as upo comfortable na ulichovaa, Fashion remains a valid and exciting form of self-expression at any age, Fashion explain who you really are and how you feel about yourself, kuna wale ambao huwa tunasema forever young it doesn’t matter una umri gani lakini moyoni unajisikia bado kijana, you have all the right to dress up as one. Moja ya kitu ambacho hufanya mtu aonekane amezeeka au kijana ni namna anavyo jiweka, so be youthful at heart & show it through your wardrobe.

 • Safisha kabati lako na anza upya

inawezekana kuna pahala ulikosea zamani, anza upya kwa kuangalia kipi kilikuwa style yako na kipi kilikuwa off, makabati mengi ya watu wazima yamejaa mavazi ambayo hata hawayatumii they hold the clothes down to the memory lane, ili kuanza upya safisha kabati na gawa zile ambazo huzitumii na bakisha ambazo unaona zinaendana na wewe kwa sasa

Kuwa mtu mzima haimaanishi kuacha kujipenda na kutaka kuonekana vizuri, live your best life we only live once make the most of it.

Related posts

5 Comments

 1. legit weed

  … [Trackback]

  […] There you can find 12769 additional Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/does-fashion-knows-age/ […]

 2. auto locksmith

  … [Trackback]

  […] Find More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/does-fashion-knows-age/ […]

 3. water fountain and birds singing

  water fountain and birds singing

  water fountain and birds singing

 4. สมัคร lsm99

  … [Trackback]

  […] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/does-fashion-knows-age/ […]

 5. pk789 สล็อต

  … [Trackback]

  […] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/does-fashion-knows-age/ […]

Comments are closed.