SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Doja Cat Head To Toe Red Look At Paris Fashion Week 2023
Mitindo

Doja Cat Head To Toe Red Look At Paris Fashion Week 2023 

The Paris Haute Couture Fashion Week for Spring-Summer 2023 imeanza na imeshaanza ku-make headline huko kwenye mitandao ya kijamii, show ambayo imeonekana ku create buzz kwa wingi ni hii ya Schiaparelli ambayo alihudhuriwa na watu maarufu kama Kylie Jenner, Naomi Campbell, Irina Shayk na Doja Cat.

Show ilikuwa na mavazi ya aina mbalimbali yakiwa na touch’s za tofauti kama vichwa vya wanyama. Lakini kwa Doja yeye alikuwa tofauti alikuja akiwa amevalia full red look, yaani kutoka kichwani hadi miguuni amevalia mavazi mekundu.

Inavyo semekana vazi hilo limetengenezwa na 30,000 Swarovski Crystals na limechukua karibu masaa matano kuvaliwa, well tupe maoni yako kutoka katika vazi hili la Doja

Related posts