SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

DONDOO ZA MAVAZI KATIKA JOB INTERVIEW
Dondoo

DONDOO ZA MAVAZI KATIKA JOB INTERVIEW 

Linapo kuja swala la interview ndio lile neno la “dress to impress” linapo kuja, japo kuwa vyeti vyako na elimu yako vina mata katika job interview lakini pia muonekano muhimu, una weza kuwa una Degree, Masters, PHD lakini kila ukienda kwenye job interview una kosa kazi ukiwa hujui sababu ni nini ina wezekana muonekano wako hauvutii wanao ku interview pata Tips hizi chache zinazo weza kukusaidia kupata kazi

something simple Рunapo enda kwenye job interview jaribu kuwa simple uwezavyo, ni kweli utataka kuwa formal kuliko siku za kawaida lakini pia hutaki kuonekana too formal kuliko yule anaye kufanyia interview  utamuogopesha vaa kitu simple kama ni suit au a blouse na pencil skirt will do

fashion blog for professional women new york city street style work wear

Blazer – kama umevaa blouse na skirt au suruali na ukaona bado huonekani as formal as you want ongezea blazer, blazer always do wonders katika mitoko ya ofisini na mara nyingi unapo vaa blazer unaonekana formal na professional

Suit Separates – sio lazima uvae suit zinazo fanana jaribu kuvaa suit ambazo ni tofauti labda unaweza kuchukua blazer ya suit nyeupe na skirt au suruali kutoka kwenye suit nyeusi na kuvaa, japo kuwa si lazima sana kuvaa suit katika job interview lakini pia ina semekana ukivaa suit mara nyingi una pewa first priority kuliko ambae ame vaa plain cloth {kuwa muangalifu na uchaguzi wa rangi}

Heels – hata kama si mpenzi wa heels jaribu ku sacrifice masaa machache na uzivae katika job interview, japo kuwa flats na wedges zipo comfortable na pia sio mbaya ukivaa lakini heels zina kupa strong first impression na hii itasaidia ku boost marks katika job interview yako

Related posts

1 Comment

  1. Dark web market links

    … [Trackback]

    […] Find More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/dondoo-za-mavazi-katika-job-interview/ […]

Leave a Reply