SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Don’t Go Broke Trying To Appear Rich
Mitindo

Don’t Go Broke Trying To Appear Rich 

Inawezekana huwa unajiwekea malengo lakini kuna certain life unaishi na inasababisha usifikie malengo yako. Japo tunaambiwa fake it till you make it hii haimaanishi tufanye vitu vilivyo juu ya uwezo wetu pale ambapo hatuna, tumeona kwasasa wadada wengi wanajaribu kuonyesha maisha fulani mtandaoni wasiokuwa nayo na hii imekuwa kubwa sana kila mmoja nataka soft life na kuonekana kwanamna fulani.

Wengi tunawaona na expensive handbags, designer shoes & clothes, madini etc lakini inawezekana kwa ground mambo ni tofauti, hapa hatusemeni usinunue vitu ghali kama unawezo navyo nunua lakini kama huna ni vyema ukaangalia bigger picture wanasema if you can’t buy it twice you can’t afford it.

Na inawezekana ukapendeza ukiwa umevaa mitumba kuliko ukivaa mavazi ya bei ghali leo kwenye finacial tip tunakwambia ” usitumie zaidi ya unachokipata haswa kama matumizi hayo yanalenga vitu vya urembo ili kuwafurahisha WENGINE. Ikiwa unaishi kwa bajet ndogo.

Related posts