Fiesta ni leo, kama tunawaona mnavyo hangaika na nini cha kuvaa well hio ndio sababu ya sisi kuwa hapa, tupo kwa ajili yako kwanza kabisa una takiwa kujua ile ni music festival na kutakuwa na watu wa aina tofauti tofauti kwetu sisi sehemu kama fiesta a body corn dress au skirt sio option nzuri japo una weza kuistyle kuvaa pia, a short dress sio option nzuri sana pia as we said kuna watu mbalimbali and the street is not safe.
hizi ni ideas tulizo zipenda ku share nanyi
overrall denim x crop top x raba
crop top x kitenge hii inaweza kuwa suruali au hata pensi, put on some glasses your good to go
short kitenge skirt, colorful crop top na sneakers
the off shoulde trend ina weza kuwa na suruali, pensi, skirt chochote lakini style mitoko yako na flat shoes, kama sandals, raba au gladiators
kama uta opt shift dress jaribu kuvalia a short pant ndani
Related posts
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…