SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

DRAKE APATA LIPSTICK KUTOKA TOM FORD
Mitindo

DRAKE APATA LIPSTICK KUTOKA TOM FORD 

Neno haki sawa linaanza kutumia kwanini wanawake wawe na vipodozi na wanaume wasiwe navyo? kwa kuona hilo Tomford wametoa Beauty Collection kwa ajili ya wanaume na safari hii wametoa Lipstic iitwayo Drake. Je wanawake mnampenda Drake mtaruhusu wanaume zenu wapake lipstick hio? na wanaume je mnaonaje? mambo ya Fashiooooon mambo ya Urembo

rs_560x415-151022142730-1024.Drake-Lipstick.jl.102215

 

 

image

Related posts

Leave a Reply