SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

DRESSES WE LOVE 2016
Mitindo

DRESSES WE LOVE 2016 

2016 ulikuwa mwaka wa ku-slay tuna weza kusema a savage fashion year, maana ilikua ni trend after trend, ukigeuka huku huyu ame slay kule mwingine ame slay basi alimradi raha kwetu sisi ma fashionista na hizi ni gauni tulizo zipenda kutoka kwa watu maarufu

Mwamvita Makamba alivaa hii fur red dress katika birthday yake na tulipenda kila kitu katika huu mtoko

Screenshot_2016-07-10-02-27-14-1 Screenshot_2016-07-10-22-53-44-1

Hamisa Mobetto alivaa blue and yellow dress katika Uganda Entertainment Awards na ina bidi tuseme Hamisa killed on this one13636102_1758919031017538_1637168699_n

Elizabeth Michael ame vaa nguo nyingi mwaka huu hatuwezi ku determine hii ni funga mwaka maana hatujui kesho atavaa nini ila katika zote tulizo ziona hii red dress aliyo vaa katika tuzo za EATV is a bomb15251630_1787416668190518_7971906549205434368_n

Mama Diamond akiwa ame rock a beatiful dress kutoka kwa mbunifu wa hapa hapa Tanzania katika birthday yake everybody went crazy na hii gauni, well ni mama wa simba Walonoga-wiki-hii-1Host wa storm tv Liliane Masuka, alipendeza sana na hii dress

Walonoga-wiki-hii-11

Wema Sepetu’s red dress katika event yake ya black tie ili make headlines sana hii nguo and we love it

hjn

Related posts