SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Dressing The Baby Bump For Night Out Outfit Ideas From Vera Sidika
Mitindo

Dressing The Baby Bump For Night Out Outfit Ideas From Vera Sidika 

Hakuna kitu kinasumbua kichwa kama kuchagua vazi la kuvaa hasa katika mitoko ya usiku, sasa imagine unamtoko wa usiku halafu umjamzito hapo ndipo kichwa kitakapo waka moto na kuamua usiende kabisa kwenye huo mtoko.

Leo tumewakumbuka mama vijacho tunawaleta mavazi ambayo unaweza kuvaa ukiwa unatoka usiku na ideas tumetoa kwa mjasiriamali na aliyekuwa video vixen Vera Sidika kutoka Kenya. Mavazi ya Vera sio ya night out za kwenda movies hapana hapa inawezekana umealikwa birthday party, labda kwenda kwenye harusi etc.

Well kama unaenda kwenye party za kawaida kama birthday, gender reveal parties, au bridal shower hii mionekano inaweza kukufaa zaidi

Kama unaenda kwenye harusi, red carpet events etc basi mavazi haya mitatu kutoka kwa Vera Sidika inaweza kuwa chaguo zuri pia

Well tuambie kati ya outfit hizi tano ni ipi umeipenda na unaweza kujaribu kuivaa?

Related posts