Mwezi mtukufu unaelekea ukingoni na sote tunajua baada ya kufunga kwa siku 30 huwa tuna sherekea Eid, Je umeshajua nini uvae siku hio? kama bado tupo hapa kwa ajili yako, kwetu sisi Eid ni siku ya furaha, kula, kunywa na ku enjoy na familia mavazi tuliyo yachagua hapa ni yale mavazi simple kuvaa na yata kupa uhuru wa ku move kirahisi kutoka sehemu moja kwenda nyingine lakini pia siku hii huwa na vyakula vingi vitamu vitamu mavazi haya yana kufanya uwe huru kula tani yako bila kubanwa
Skin Jeans & long tops – hizi zinakufanya uwe casual yet chic pia usisahau ku accessorize mtoko wako kama ni miwani, bangili, mikufu hereni etc
Abaya sasa hivi kuna kila aina ya abay’s na kila rangi ni wewe tu na chaguo lako kizuri kuhusu abaya ni kwamba ziko comfortable na unakuwa hauna mawazo ya kutafuta cha kuvalia yaani ukilivaa umevaa
Pallazo – suruali pana pana nazo ni nzuri kwa eid unaonekana stylish
ni matumaini yetu umepata idea ya nini uvae katika Eid.
Related posts
4 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Here you will find 43798 more Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/eid-gathering-outfit-ideas/ […]
… [Trackback]
[…] Find More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/eid-gathering-outfit-ideas/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/eid-gathering-outfit-ideas/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/eid-gathering-outfit-ideas/ […]