SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

EID OUTFITS IDEAS
Mitindo

EID OUTFITS IDEAS 

Mwezi umeisha na Eid ina karibia, watu wengi wanaenda shopping kwa ajili ya manunuzi ya nguo za sikukuu eidha kwa watoto, ndugu au za kwao wenyewe. kama bado hujajua uvae nini hizi ni idea chache za nini uvae siku hio ya Eid

IMG_7235

Caftan Dress zipo katika trend sasa hivi kama wewe ni mpenzi wa kuvaa nguo chache hii ina kufaa zaidi, una weza kuongezea urembo kama hereni, mkufu na bangles chini vaa kiatu kirefu utapendeza sana

static1.squarespace.com Kama una mwili mkubwa tuntu skirt ni chaguo bora zaidi jaribu kupangilia rangi vizuri tumblr_nb1rzpEtK21shz4f3o1_1280

Long bandage dress nazo zipo kwenye trend unaweza kuvaa rangi upendayo

tumblr_ncn6jhaERv1shz4f3o1_1280

 

Related posts

Leave a Reply