SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Elizabeth Michael, Ebuka,Perfect Crispin Na Wengine Walivyo Serve Looks Last Week
Mitindo

Elizabeth Michael, Ebuka,Perfect Crispin Na Wengine Walivyo Serve Looks Last Week 

Last week hakukuwa na mambo mengi, hakukuwa na event kubwa za red carpet lakini hii haikuzuia baadhi ya watu maarufu ku-dress up na ku-show up kwenye event nyingine zinazowahusu. Tunae Ebuka, Elizabeth Michael, Perfect Crispin, Nandy na Diamond Platnumz tuone nani ali-serve nini

Perfect went all in na hii look, tumependa kila kitu, nywele, miwani, saa, color combination ya outfit, viatu lets say he took his time wakati anafanya choice ya hii look. Sio tu anaonekana stylish lakini pia smart, a celebrity look sio hizi trend look tulizozizoea he owned his style.

Elizabeth Michael In Emerald Green Dress, Lulu alikuwa kama wediing guest kwenye hii look and as usual she is that extra wedding guest, tumependa gauni na nywele combination and that makeup is flawless

Nandy alikuwa kwenye hii body corn black and white dress yenye bow, tumependa hii gauni iko chic, viatu pia vizuri lakini something about the hair ambayo hai-sit well with our fashion soul. Other factors anapata 8.5 for the outfit

We need to know Ebuka’s stylist sababu this guy can dress hatukumbuki lini aliharibu. we love this Suit alivyoivaa last week kwenye Big Brother Naija, Tumependa rangi na design ya suit and major key alert the hair style and beard so clean

Afromates let us know look ipi imekukosha sana kati ya hizo juu.

Related posts

4 Comments

 1. mp3 juice

  … [Trackback]

  […] Read More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/elizabeth-michael-ebukaperfect-crispin-na-wengine-walivyo-serve-looks-last-week/ […]

 2. mikestreeservicecompany.com

  … [Trackback]

  […] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/elizabeth-michael-ebukaperfect-crispin-na-wengine-walivyo-serve-looks-last-week/ […]

 3. bio ethanol burner

  … [Trackback]

  […] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/elizabeth-michael-ebukaperfect-crispin-na-wengine-walivyo-serve-looks-last-week/ […]

 4. funny987

  … [Trackback]

  […] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/elizabeth-michael-ebukaperfect-crispin-na-wengine-walivyo-serve-looks-last-week/ […]

Comments are closed.