SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Elizabeth Michael In Elisha Red Label Wedding Dress
Mitindo

Elizabeth Michael In Elisha Red Label Wedding Dress 

Wengi tumekuwa tukisubiri kuona Elizabeth Michael atavaa nini kwenye harusi yake as we all know anapenda sana kupendeza hasa kwenye harusi za wengine, juzi Elizabeth alitu-surprise na gauni ya harusi kutoka kwa mbunifu Elisha Red Label.

Kabla hujaanza kujiuliza kama kaolewa au lah, hajaolewa ni tangazo ambalo alitakiwa kuvaa kama bibi harusi, anyways back to the point. Eliza livaa hii off white mermaid dress akamalizia na beautiful head gear. Huku akiwa na nude makeup look kutoka kwa makeup artist Lavie Makeup

Well Elizabeth will surely make a beautiful bride

Related posts