SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

ELIZABETH MICHAEL IS BACK AT IT
I'm A Celebrity

ELIZABETH MICHAEL IS BACK AT IT 

Well Elizabeth Michael is our all time favorite slayer tume kuwa tukimiss picha zake week mbili hizi tatu alizo amua kutupumzisha (lol) kwa sababu anazo zijua mwenyewe ila karudi na kama kawaida yake she makes wonders hasa pale katika mialiko ya shughuli mbalimbali. Inaonekana jana alipata mualiko wa harusi na as usual she slayed wearing backless mermaid floral dress Eliza looked flawless

14504664_194630314321651_6643755399738556416_n

make up yake ilikua on fleek, hair style nzuri na ali add pink clutch iliyo endana na maua ya gauni na lipstick 15043893_1792863820986041_6591628927855230976_n

The dress is to die for na ime m-suit well

Instagram – afroswagga

Twitter – afroswaggatz

facebook – afroswaggamag

Related posts