Unapofanya kazi kwa muda mrefu unahitaji mapumziko wazungu husema “Work hard play hard”, well inaonekana Juma Jux, Cyrill Kamikaze na Elizabeth Michael wao sasa ndio muda wao huu wa kupumzika.
Hold your horses wote hawapo sehemu moja, Cyrill Na Jux wameenda vacation mbuga ya wanyama ya Serengeti wakati Elizabeth “Lulu” yeye akiwa amechagua mbuga ya wanyama ya Tarangire kufanya mapumziko yake.
Wakati wa mapumziko we take off the suits & any official wear, we go less na hicho ndicho tunachokiona kwa watu maarufu hawa well lets see wamevaa nini tulicho kipenda kwenye vacation yao
Elizabeth served us these two looks, akiwa Tarangile national park, kitu ambacho tume-notice ni short fits, kushoto akiwa amevalia off white hoodie pamoja na over the knee boots huku kulia she is serving us short boot cut pants, t-shirt, adidas socks & shoes, She is being all sexie to the animals.
Wakati Juma Jux na Cyrill wao wanatupa casual perfect, kwenye hii outfit Juma went for monochrome style, akiwa amevalia shades za rangi ya brown huku akiwa amemalizia muonekano wake na accessories ndogo ndogo, Cyrill yeye alichagua kuwa in black & white na yeye pia amemalizia look yake na accessories.
we love this jumper worn na huyu mdada her vocation style is on a hundred.
Well afromates next time ukipata vocation wakumbuke Juma, Cyrill na Eliza wakati una park outfit zako.
Related posts
7 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/elizabeth-michael-juma-jux-cyrill-kamikaze-serving-us-vacation-style/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/elizabeth-michael-juma-jux-cyrill-kamikaze-serving-us-vacation-style/ […]
… [Trackback]
[…] Find More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/elizabeth-michael-juma-jux-cyrill-kamikaze-serving-us-vacation-style/ […]
… [Trackback]
[…] Read More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/elizabeth-michael-juma-jux-cyrill-kamikaze-serving-us-vacation-style/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Information here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/elizabeth-michael-juma-jux-cyrill-kamikaze-serving-us-vacation-style/ […]
… [Trackback]
[…] Find More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/elizabeth-michael-juma-jux-cyrill-kamikaze-serving-us-vacation-style/ […]
… [Trackback]
[…] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/elizabeth-michael-juma-jux-cyrill-kamikaze-serving-us-vacation-style/ […]