Hello Afromates we hope your having a good monday, well if not let this looks brighten your day, week iliyopita tumeona looks mbalimbali kutoka kwa watu maarufu mbalimbali wakiwa wame attend events au waliamua tu kutuonyesha wamevaa nini and as usual huwa tunachagua zile zilizotupendeza na ambazo tumeona zimeenda kombo we need to talk about them leo kwenye menu yetu we have Elizabeth Michael, Lady Jaydee, Julitha Kabette, Rayvanny & Country Boy.
Jide served us with this half sheer black dress, kwetu tunaona everything is good but the fashion, the boobs are standing (with her age she deserves a praise), makeup and hair on point, love the shoes but with other outfit, the dress is just wrong tunaweza kusema ni tofauti na tulivyomzoea lakini pia haijampendeza na anaonekana yupo uncomfortable, pia inatakiwa ivaliwe hivi hivi au something else ila hii undergarment ya Da Jide is wrong for the dress we SLAP THIS DRESS OUTTA HER.
Okay tunaweza kuwa hatukuwahi kusema au tulisha wahi kusema lakini this girl is representing the Tanzania Fashion Community Right, she been slaying kwenye event huko South Africa and we are proud to call her ours, Julita Kabete tumem-spot katika event ya Sun Met 2019 South Africa akiwa amevalia this dress kutoka kwa mbunifu donamatoshiofficial and we love everything about it, the dress is perfect, body served, face beat on point, perfect hair style and accessories.
Elizabeth Michael isn’t your regular casual met, tumependa this outfit kutoka kwake, graphic tee, the belt is gorgeous, little skirt na statement shoes, this is how you upgrade your casual outfit game, add some accessories and statement shoes your good.
Country boy is telling men you can wear colors and look good, we love this colorful outfit kutoka kwake. Bring out that Rainbow brother.
Rayvanny tunafurahi umefanyia kazi ushauri wetu na kuacha kuvaa matchy matchy outfit, this outfit is bomb.com but brother you need to takeout that hair style, give it up.
Related posts
HOT TOPICS
Happiness Magese Akionyesha Wanawake Warefu Namna Ya Kuwa Stylish: Kwa wanawake warefu huwa… https://t.co/VZ1jH2zJUg
FollowHappiness Magese Akionyesha Wanawake Warefu Namna Ya Kuwa Stylish: Kwa wanawake warefu huwa… https://t.co/689j7Yjcn0
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
Feza Kessy Atuelezea Kuhusu Fashion & Style Zake
Feza Tadei Kessy ni Muimbaji, Muigizaji lakini pia ni mtunzi wa nyimbo lakini pia Fezza ni former beauty queen ambapo mwaka 2005 alikuwa Miss Dar City Centre, Miss Ilala & Miss Tanzania Runner up. Lakini pia alishawahi kuwepo katika Reality Tv Show – Big Brother Africa. Kwa…