Okay bado tupo in our earliest 2017 watu bado wana ikusanya kusanya kujua wata slay vipi mwaka huu, Elizabeth Michael ambae mwaka jana alichukua number moja katika walio slay vizuri mwaka mzima tunaona ame rudi tena kwa kasi mwaka huu, jana ame post picha yake mpya akiwa ame valia gauni la pink ambalo lilimkaa vizuri na kependeza mno
we love love the dress and make up, hayuna uhakika na hair style lakini she covered it up na uzuri wake
tuambie wewe umeupenda kiasi gani muonekano huu wa lulu, tuambie kupitia
Instagram – afroswagga
Facebook- afroswaggamag
Twitter – afroswaggatz
Related posts
4 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/elizabeth-michael-looks-hot-in-hot-pink-dress/ […]
… [Trackback]
[…] Here you will find 49335 more Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/elizabeth-michael-looks-hot-in-hot-pink-dress/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/elizabeth-michael-looks-hot-in-hot-pink-dress/ […]
… [Trackback]
[…] Find More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/elizabeth-michael-looks-hot-in-hot-pink-dress/ […]