SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Elizabeth Michael Na Majizzo Wedding Review
Mitindo

Elizabeth Michael Na Majizzo Wedding Review 

Ilikuwa surprise kwetu sote, Jumanne hii muigizaji Elizabeth Michael ( Lulu) Na mpenzi wake Francis Ciza ( Majizzo ) wamefunga ndoa. Ilikuwa ni sherehe iliyo hudhuriwa na watu wachache.

Eliza alimtumia makeup artist Lavie Makeup, ambapo alimpa nude look, brow as usual zilikuwa on point na smokey eye’s.

Lakini pia alivaa head piece ambayo ndio ilikuwa talk of the social network, piece hii imetoka kwa mbunifu handmadebydafina ambae anatoka Kosovo.

Kuhusu gauni Elizabeth alivalishwa na mbunifu kutoka Pristina Nchini Kosovo, Vardini Sahiti. Mbunifu huyu amevalisha watu maarufu mbalimbali akiwepo Mrs. Carter ( Beyonce), Cardi B mwanamziki Fantasia na wengine wengi.

Gauni ilikuwa ball dress, ambayo ilikuwa na lace kifuani na pearls. Tumependa kwamba amekuwa tofauti, sote tunajua Elizabeth ni slayer kwenye harusi au event za watu ameshavaa sana nguo fupi na nguva, hii ball dress ilikuwa perfect kufanya awe tofauti na nguo zote alizowahi kuvaa zamani

Wakati bwana harusi Majizzo yeye alivalishwa Tuxido nyeusi kutoka kwa mbunifu kutoka Tanzania Mtani Bespoke.

Tunawatakia ndoa yenye mafanikio na furaha, well tupe maoni kuhusu mavazi yao hapo chini.

Head piece @handmadebydafina

Mua @laviemakeup
Dress @valdrinsahitiofficial
Stylist @elisha.red.label
Bouquet @megyflowers
Photo @clemence_photography @six_rango
@aman_martins @iamsaixl @msuva_ @jaym_tz

Related posts

7 Comments

  1. go to this web-site

    … [Trackback]

    […] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/elizabeth-michael-na-majizzo-wedding-review/ […]

  2. 카드수수료

    … [Trackback]

    […] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/elizabeth-michael-na-majizzo-wedding-review/ […]

  3. otc

    … [Trackback]

    […] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/elizabeth-michael-na-majizzo-wedding-review/ […]

  4. 현금홀덤사이트

    … [Trackback]

    […] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/elizabeth-michael-na-majizzo-wedding-review/ […]

  5. Malabar Mushroom Strain

    … [Trackback]

    […] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/elizabeth-michael-na-majizzo-wedding-review/ […]

  6. Buy lsd sheet in Perth,

    … [Trackback]

    […] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/elizabeth-michael-na-majizzo-wedding-review/ […]

  7. join illuminati

    … [Trackback]

    […] Find More Information here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/elizabeth-michael-na-majizzo-wedding-review/ […]

Comments are closed.