Week hii tumeona kilicho trend mtandaoni ni block colors trend, hii trend huwa inaenda na kurudi. Kuna ambao wanaipenda na kuna wengine ambao hawajawahi kuipenda, mmoja wapo akiwa blogger Missie Popular ambae alitamani hii trend isirudi tena
“Afroswagga – Tutajie fashion trend ambayo huwezi kuijaribu hata siku moja
Missie Popular – Color Block…I hope haitarudi tena kwenye fashion trends,ever!”
Well the trend is back na inakuja kwa kasi mno. Kwa wale ambao mnajiuliza color blocking style ni ipi, hii ni ile hali ya kuchanganya rangi zaidi ya moja, hasa zile shouting colors. Mfano unaweza kuvaa njano na kijani lakini pia inawezekana kwa neutral colors pia.
Tumeona watu maarufu mbalimbali wakiwa wamevalia trend hii kama vile Elizabeth Michael Lulu ambae yeye alivalia blue suit na orange pink bottoms, Rihana yeye alivalia orange outfit akamalizia na blue kicks huku mwanadada kutoka Uganda Spice Diana alivaa pink suit na blue stiletto.
Wengine ambao tumewaona ndani ya trend hii Ni Hamisa Mobetto ambae yeye alivali black & white color block blazer dress, Lilian Afegbai yeye alivaa pink & black color block suit na Rita Dominic ambae na yeye alivaa nyeupe na nyeusi.
Well Afromates hiki ndicho kinacho trend kwa sasa, tuambie je wewe unamaoni gani na trend hii.
Related posts
7 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/elizabeth-michaelrihanna-spice-diana-na-wengine-katika-color-blocking-trend/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/elizabeth-michaelrihanna-spice-diana-na-wengine-katika-color-blocking-trend/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/elizabeth-michaelrihanna-spice-diana-na-wengine-katika-color-blocking-trend/ […]
… [Trackback]
[…] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/elizabeth-michaelrihanna-spice-diana-na-wengine-katika-color-blocking-trend/ […]
… [Trackback]
[…] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/elizabeth-michaelrihanna-spice-diana-na-wengine-katika-color-blocking-trend/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/elizabeth-michaelrihanna-spice-diana-na-wengine-katika-color-blocking-trend/ […]
… [Trackback]
[…] Find More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/elizabeth-michaelrihanna-spice-diana-na-wengine-katika-color-blocking-trend/ […]