SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Elle India Yataja Brand 5 Za Fashion Wanazozipenda Kutoka Africa Ya Tanzania Ikiwepo
Mitindo

Elle India Yataja Brand 5 Za Fashion Wanazozipenda Kutoka Africa Ya Tanzania Ikiwepo 

Elle ni moja kati ya magazeti ya fashion makubwa Duniani, kama ambavyo magazeti mengine makubwa huwa yana branch Nchi tofauti tofauti basi na Elle pia wanazo branch zao ikiwepo hii moja wapo ya Elle India hapa utapata habari za life style za duniani kote.

Well June mwaka huu tumepata blog mpya ya Africa inayoitwa Industrie Africa ambayo ina aim katika ku empower na ku-promote Local Africa Labels, Founder wa hii blog niDubai-based Georgia Bobley and Dar es Salaam-based Nisha Kanabar na wao ndio wame wapa Elle India hii list ya brand 5 kutoka Africa wanazo zipenda kwa sasa.

Moja kati ya brand zilizotajwa ipo ya kutoka Tanzania ambayo ni Sidai Designs ambao wao wana deal na kutengeneza accesory za shanga za kimasai, brand hii hutumia wamama wa kimasai kutengeneza shanga hizi na inamilikiwa na Eszter Rabin na Rebecca Olivia Moore, Wanapatikana Arusha.

Kwetu ni big deal wao kutajwa ni moja ya step kwamba brand zetu zinakuwa noticed kwa kazi zao, Sidai Designs hongereni sana na we hope to see more good things from you

Kuwapata instagram wanatumia @SidaiDesigns lakini blog yao pia ni SidaiDesigns.com

Lakini brand nyingine ambazo zimetajwa pia ni AAKS brand kutoka Ghana ambapo mbunifu wake ni  Akosua Afriyie-Kumi’s brand hii  wao wanatengeneza bags za asili

ipo brand kutoka Kenya ambayo nayo ina tengeneza accessories ni kutoka kwa mbunifu Ami Doshi Shah’s

ipo brand kutoka Egypt iitwayo OKHTEIN ambayo nao wanadeal na kutengeneza mikoba, brand hii inaongozwa na wabunifu Aya na  Mounaz Abdelraouf

Brand nyingine ya mwisho ni kutoka south africa ambayo hii inadeal na kubuni mavazi ya kiume, inamilikiwa na mbunifu Rich Mnisi

Congrats kwa wote waliotajwa Africa is proud ingia hapa kusoma zaidi 5 African fashion brands to love right now+

Photograph: Abbi Kemp Photography (Nisha Kanabar and Georgia Bobley)

Related posts

2 Comments

  1. Investment opportunities

    … [Trackback]

    […] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/elle-india-yataja-brand-5-za-fashion-wanazozipenda-kutoka-africa-ya-tanzania-ikiwepo/ […]

  2. h k usa

    … [Trackback]

    […] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/elle-india-yataja-brand-5-za-fashion-wanazozipenda-kutoka-africa-ya-tanzania-ikiwepo/ […]

Comments are closed.