SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

” Embellished Clutch Is A must Have”  Kutoka Kwa Lulu
I'm A Celebrity

” Embellished Clutch Is A must Have” Kutoka Kwa Lulu 

Elizabeth Michael “Lulu” ame kuwa akisifiwa sana kutokana na kujua kuvaa “fashionista” iwe casual au ana enda sehemu na kwa kipindi hiki ame kuwa ana weka headlines kwa mitoko yake ya harusini.

na katika hio mitoko ya harusini ndipo hapo tulipo jifunza kitu kutoka kwake, kama ni mfuatiliaji utagundua kila mara Lulu akiwa ana sherehe ana vaa na kupendeza lakini ni lazima awe na clutch iliyo kuwa na urembo kama wa gold, silver etc.

hio ni accessory ambayo ina make statement kwenye mtoko wake mara nyingi huwa ana vaa  urembo mdogo (hereni,cheni) ila hubeba hizi clutch na ni lazima tusema her clutch collection is fire.

Hii clutch ya silver na gold aliibeba mara mbili ya kwanza ndio hii na short dress ambapo ali match, viatu, nywele na hio clutch

13734407_151796171921126_58042143_n

namna ya pili alivaa gold na ehite dress ambapo akabeba na hii clutch ku match

14374055_1867438036817445_937470126674935808_n

Clutch ya pili ni embellished clutch ambayo ina weusi na shanga za gold na nyeupe hii alivalia na red little dress na viatu vyekundu. ilikua ni perfect choice kwa kweli 13745048_1435148213167066_808995179_n

A Silver Clutch ina endana na rangi yoyote una weza kuona hapo chini namna tatu lulu ame style clutch za silver 14032902_771557542987551_1043017786_n

14566633_142448532894516_1033774919927726080_n

14607203_1740208859578257_5936602112627572736_n

hii ni recently lulu alivaa gauni nyeupe yenye maua ya pink ambapo aliweka statement ya bold pink lipstick na clutch ya pink. We love how ana stick na rangi moja ili kuto ku mix vitu sana kuwa na vitu vichache vinavyo weza kufanya muonekano wako uwe extra ordinary kama hivyo kubeba clutch, hair style nzuri, statement chain etc15057221_200757397037748_2038266271794987008_n

Tupe maoni yako kupitia

Instagram – afroswagga

Twitter – afroswaggatz

Facebook – afroswaggamag

Related posts