Jamilatu Iddrisu Ni fashionista kutoka Ghana ambae huwa ana dress to kill ukimualika katika sherehe yako una hitaji ujiandae kwa hali ya juu kwa hapa kwetu Tanzania tuna mfananisha na Jokate au Elizabeth Michael, Jamilatu Iddrisu au wengi tunamjua kama Empress_Jamila alikuwa kimya kwa muda kidogo na ameonekana kurudi kwa kishindo, hizi ni post zake alizo zipost siku chache zilizo pita akiwa on white dresses na Tuxedo na zote zime tupa a wedding vibe,
Kwenye post yake aliiandika hii kama wedding guest outfit je would you dare to rock a tuxedo on wedding? she looks good makeup on point so natural
Hapa akiwa in a white jumpsuit, Kwetu tungeivaa hii katika beach wedding au cocktail wedding
Soo Chic love the metallic chocker, fringe dress na viatu vyake vya orange, japo hairuhusiwi kuvaa nyeupe kwenye harusi ya mwenzio lakini you can rock this on your wedding reception love it
White High Low Caped Lace Dress na Orange Shoes
Flare Off Shoulder Dress inayo onyesha what her mama gave her is bomb
Tumependa outfit zote kutoka kwake kama una harusi na hujui uvae nini, unaweza kupata mawili matatu kutoka kwa Jamilatu.
Related posts
6 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/empress-jamila-is-giving-us-wedding-vibes-with-these-outfits/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Information here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/empress-jamila-is-giving-us-wedding-vibes-with-these-outfits/ […]
… [Trackback]
[…] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/empress-jamila-is-giving-us-wedding-vibes-with-these-outfits/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/empress-jamila-is-giving-us-wedding-vibes-with-these-outfits/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/empress-jamila-is-giving-us-wedding-vibes-with-these-outfits/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/empress-jamila-is-giving-us-wedding-vibes-with-these-outfits/ […]