ENJIPAI ni neno la kimaasai ambalo kwa Kiswahili lina maanisha FURAHA, ENJIPAI ni bidhaa ambayo ime undwa na Nasreen Karim Miss Tanzania 2008.

11287605_1650707678497115_653670733_n

 

Kikundi cha ENJIPAI imeunganishwa na wamama wa kimaasai ambao wana unganisha utamaduni wao na mitindo ya kisasa.

Enjipai-beads-women-@-work

Kitu kizuri kuhusu Enjipai ni kukutanisha utamaduni wa kimasai na mitindo ya kisasa, inaleta hamasa kwa wanawake na warembo mbalimbali maarufu kwa sababu ni kitu cha tofauti.

IMG_6483

Hamisa Mobbeto

enjipai1

Jokate Mwegelo

Enjipai-Mdee

Vannesa Mdee

Enjipai-Ncisa-of-Mafikizolo-BET

Nhlanhla Nciza wa Mafikizolo

bidhaa nyingine kutoka ENJIPAI

images index