Kwa Wasio Mjua Esma Ni DadaWa Diamond Platnumz… Esma Ni Moja Kati Ya Wasichana Walio Kuwa Na Watoto Na Bado Wana Maintain Miili Yao Vizuri…
Mara Nyingi Esma Amekuwa Akionekana Na Madira Na Magauni lakini katika hii photo shoot yake mpya Esma Ame Badili Style Na We Love It😍
Picha: Esma Akiwa katika blue blouse ambayo ilitrend kipindi cha katikati ame ivalia na dark blue skin jeans na black & White Pumps
Picha: Off shoulder bado ina trend looks like Esma nae hakutaka kupitwa hapa akiwa amevalia Pink long Sleeves Off Shoulder Blouse.. Skin Jeans na Open heels👍🏾👍🏾👍🏾
Picha: Huu muonekano wa mwisho ni our Favorite… Hizo Cut Off Shoulders ziko So In Kwa Sasa… High Waisted Jeans Na Red Heels Alizo Match Na Lipstick.
Tuambie muonekano upi Kanoga zaidi hapo chini au kupitia kurasa zetu za;
Instagram – @afroswagga
Twitter – @afroswaggatz na
Facebook – afroswaggamag
Related posts
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…