SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Every One Is Getting Engaged In Yellow, From Priyanka Chopra, Elizabeth Michael And Fifi Sugar Design
Mitindo

Every One Is Getting Engaged In Yellow, From Priyanka Chopra, Elizabeth Michael And Fifi Sugar Design 

Rangi ya njano ni rangi ambayo imekuwa ikitrend sana kwa sasa, iwe neon au njano ya kawaida, tumeona watu wengi maarufu wakiwa wamevalia rangi hii wakiwa in street style, red carpet na hata katika wedding guest.

Hii rangi imekuwa kama rangi ya bahati hivi maana tumeona watu maarufu wengi wanaitumia kuvaa wanapo kuwa engaged mara ya kwanza tulimuona nayo actress kutoka India mwanadada Priyanka Chopra ambae yeye alikuwa engaged na mpenziwe Nick Jonas.

Lakini hivi karibuni tulimuona muigizaji Elizabeth Michael na yeye alikuwa engaged na mpenzi wake Majizzo akiwa amevalia gauni ya rangi ya njano.

Lakini leo tunamuongelea mbunifu Elfrida Emmanuel a.k.a Fifi Sugar Designs ambae na yeye amepata kuvalishwa pete na amechagua kuvaa gauni ya rangi ya njano, Amevaa yellow peplum mermaid yellow dress. Tumependa detail iliyopo hapo kwenye peplum ambayo imeenda moja kwa moja mpaka kwenye mkono wake wa kushoto, huku mkono mmoja ukiwa umekatwa, well Fifi did justice on her engagement dress.

Kichwani aliamua kuweka messy bun hair style na amemaliza na simple makeup, kwenye accessories alivaa dropped earrings na bracelet, she looked gorgeous

na hii ndio pete yake ya engagement we mean her fiance did that

Rangi ya njano inafaa kuvaliwa katika Engagement party na hata harusi kwa maana ina maana nzuri ambazo zinaashiria vitu vizuri japo pia upande mwingine inamaana chache ambazo si nzuri lakini hii inamaanisha hakuna ambae amekamilika kutakuwa na furaha na kuna siku kutakuwa na huzuni, best of lucky Fifi we cant wait to see the Wedding Dress.

Maana ya rangi ya njano

rangi ya jua, matumaini, na furaha, Kwa upande mmoja wa njano inasimama kwa uzuri, furaha, uwezekano, ufafanuzi, nishati, matumaini, nuru, kumbukumbu, akili, heshima, uaminifu, na furaha, lakini kwa upande mwingine, inawakilisha hofu na udanganyifu. Njano nyekundu au ya njano inaweza kuwakilisha tahadhari, ugonjwa, na wivu.

 

Related posts

4 Comments

  1. สล็อตเว็บตรงไม่ล็อคยูส ไม่มีขั้นต่ำ

    … [Trackback]

    […] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/every-one-is-getting-engaged-in-yellow-from-priyanka-chopra-elizabeth-michael-and-fifi-sugar-design/ […]

  2. betclic88

    … [Trackback]

    […] Find More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/every-one-is-getting-engaged-in-yellow-from-priyanka-chopra-elizabeth-michael-and-fifi-sugar-design/ […]

  3. ยารักษาหนองใน

    … [Trackback]

    […] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/every-one-is-getting-engaged-in-yellow-from-priyanka-chopra-elizabeth-michael-and-fifi-sugar-design/ […]

  4. Liberty Caps mushroom

    … [Trackback]

    […] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/every-one-is-getting-engaged-in-yellow-from-priyanka-chopra-elizabeth-michael-and-fifi-sugar-design/ […]

Comments are closed.