Global Citizen Festival ni festival ambayo ina fanyika kila mwaka December, to celebrate centenary year of Nelson Mandela,honouring his legacy in the fight to end extreme poverty. Festival hii imefanyika mjini Johannesburg, huku wasanii mbalimbali maarufu wakiwa wameenda ku-perform kama Jay Z na mkewe Beyonce, Pharell Williams, Tiwa Savage, Usher, Wiz Khid na wengine wengi.
watu maarufu wengi walihudhuria pia, well tuanze na Global Citizen Festival Dinner Gala
Nomzamo Mbatha in this blood dress by Radmila Lolly, this is how extra a host should look, we love her makeup, hair, accessories, the dress she did that looking fierce in all aspects.
Breath taking Bonang Matheba in Villioti Fashion Institute sheer dress, turn heads mama.
Enhle Mbali Maphumulo dripping in metallic fringe dress ambayo ili mfit vizuri, we love the dress but we would totally skip the makeup & hair.
Ayanda Thabethe in fur white dress ambayo ina long slit, amemalizia na white open sandals na statement earrings love the dress on her kitu ambacho tumeona ni miss ni kifuani kuna tofauti kidogo, kwenye uonekani wa kifua.
Hapiness Magesse in red dress na Mwamvita Makamba in pink
Rio Paul dripping in purple suit.
Tukirudi kwenye Global Global Citizen Festival Mandela 100 concert tumeona wasanii mbalimbali jukwaani akiwepo Beyonce, Wiz Khid Ayo, Tiwa Savage na wengineo
Beyonce served six looks kutoka kwa wabunifu tofauti, Mrs Carter always turns the stage to her runway show to her music and fashion goes hand in hand & we love her for that.
Wiz Khid ayo with the slayed, Baba Nhla gave us modern & culture okay Wiz we see you.
Hatuna uhakika na nini kilimpata Tiwa ila ndio alikuwa hivo.
Related posts
3 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/every-outfit-we-spotted-at-global-citizen-festival-mandela-100-from-beyonce-jay-z-nomzamo-m-and-many-more/ […]
… [Trackback]
[…] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/every-outfit-we-spotted-at-global-citizen-festival-mandela-100-from-beyonce-jay-z-nomzamo-m-and-many-more/ […]
… [Trackback]
[…] Here you will find 86903 more Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/every-outfit-we-spotted-at-global-citizen-festival-mandela-100-from-beyonce-jay-z-nomzamo-m-and-many-more/ […]