Kila mwanamke ana paswa kuwa na pair ya viatu vyekundu iwe moja au hata Zaidi, view vifupi, virefu vyovyote tu vinafaa, Viatu vyekundu vinaweza ku glam up simple outfit na kuifanya iwe bold, viatu vyekundu vinaweza kuwa statement katika mtoko wapo endapo tu utavaa inavyo takiwa.
Outfit Gani inapendeza na viatu vyekundu
- Viatu vyekundu na full black outfit – yes, iwe jumpsuit, black suit, a little black dress au hata black top and black skinny jeans unaweza kuvalia na viatu vyekundu vitaupa muuonekano wako a pop of color.
- White outfit – yes to this too, inakua a perfect contrast na inakupa attention.
- White Top + Denim + Red Heels or Flats – perfrct combination na inakupa a timeless look.
- Leopard Or Mixed Prints: Ukiongezea na kiatu chekundu kinakufanya uonekane so chic.
- Neutrals or monochrome: Will make your look shine without overpowering your outfit
- Blue + red shoes: Powder Blue, Denim Overall or navy blue dress are all great options
Note: unaweza kuvistye vyovyote upendavyo, kujua kiatu gani kingine unapaswa kuwa nacho click hapa kusoma.
Related posts
2 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/every-woman-should-own-a-pair-of-red-shoe/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/every-woman-should-own-a-pair-of-red-shoe/ […]