SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Everyone Is Wearing Polka Dot Shoes
Mitindo

Everyone Is Wearing Polka Dot Shoes 

Baada ya prints za wanyama ku-trend kwa muda mrefu kwa sasa tunaona kilichopo kwenye trend ni polka dot prints. Watu maarufu na fashionistas mbalimbali wameonekana kuwa wanavaa print hii. Iwe ni full outfit polkadot, mixing prints au hata ku-stand out na kimoja wapo katika outfit zao.

Lakini ambacho sisi tumekipenda zaidi ni Polka dot shoes, unaweza kujiuliza kwanini shoes? well kwa sababu ni namna nzuri ya ku-make statement na ni unique ni mara chache kukuta mtu anatembea barabarani akiwa amevalia polka dot shoes.

Fashionista kutoka Nigeria Chic Ama akiwa amevalia full polkadot outfit kuanzia nguo, hereni na viatu.
Our Own Fashionista Lavidoz akiwa ametumia polka dot sandals ku-upgrade muonekano wake, unaweza kuona jinsi viatu vilivyobeba outfit
Mixing polka dot prints
Azure Kange yeye akituonyesha namna ya kuvaa flat polka dot shoes.

we hope umepata inspiration ya namna ya kuvaa viatu vyako vya polkadot.

Related posts

4 Comments

  1. betclic88

    … [Trackback]

    […] Here you will find 14660 more Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/everyone-is-wearing-polka-dot-shoes/ […]

  2. liberty cap mushrooms washington state

    … [Trackback]

    […] Find More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/everyone-is-wearing-polka-dot-shoes/ […]

  3. Public Health Degree in Africa

    … [Trackback]

    […] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/everyone-is-wearing-polka-dot-shoes/ […]

  4. bio ethanol burner

    … [Trackback]

    […] Read More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/everyone-is-wearing-polka-dot-shoes/ […]

Comments are closed.