Muigizaji na producer Issa Rae amefunga ndoa na mpenzi wake ambae ni mfanyabiashara Louis Diame. Issa Rae na mpenzi wake huyo wamefunga ndoa huko Southern France, huku sherehe hio ikiwa imefanyika katika ukumbi wa Grand-Hôtel du Cap-Ferrat.
Issa Rae alivaa 2 Custom Vera Wang Haute dresses ambapo dress yake ya kanisani ilikuwa Ball Gown ” The light ivory strapless dress featured a sweetheart neckline, hand-placed Chantilly lace and hand-sewn crystal beading, according to a press release. The final touch? A matching chapel-length veil adorned with the same Chantilly lace. Rae styled her hair in a sleek low ponytail and accessorized with diamond stud earrings.
Wakati kwa mumewe alichagua red velved custom Dolce & Gabanna Tuxedo
The Bride Maids
Related posts
4 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/everything-about-issa-rae-wedding-dress/ […]
… [Trackback]
[…] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/everything-about-issa-rae-wedding-dress/ […]
… [Trackback]
[…] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/everything-about-issa-rae-wedding-dress/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/everything-about-issa-rae-wedding-dress/ […]