Inatamkwa Ath-leh-jha
Kuna siku unatamani uende kazini na leggings au tracksuit because dressing can be a hustle, Well! you can. Athleisure ni mchanganyiko wa mavazi ya kimichezo (athletic) na mavazi ya kawaida.
Lengo la Athleisure ni kuvaa mavazi ya kimichezo sehemu zisizo za kimichezo, aina hii ya uvaaji imepata umaarufu kutokana na comfort ability ya nguo za michezo. Mara nyingi nguo hizi huvutuka, kitambaa chake huwa laini na hupitisha hewa, nothing beats comfort.
Nguo za michezo hutengenezwa katika namna ambayo huruhusu movement nyingi, difa hizi za nguo za michezo imefanya watu watamani kuvaa nguo hizi katika shughuli mbalimbali nje ya michezo kama ofisini, kwenye dates, misele n.k
Katika kuvaa Athleisure unatakiwa kuchanganya nguo za kimichezo na nguo za kawaida. Nguo za kimichezo ni kama leggings, tracksuit, sports bra, tshirts, tank tops, shorts, joggers, sneakers (raba),(biker shorts) tights za mazoezi n.k. Jaribu kuwaza nguo zote ambazo watu huvaa maalumu kwa ajili ya mazoezi na michezo.
Let’s assume una nguo hizi kabatini kwako
Nguo za kawaida (ofisini au mitoko) na viatu vya kawaida na accessories
Nguo za michezo na viatu vya michezo na accessories
Ili kutengeneza muonekano wa Athleisure unapaswa kuvaa angalau vazi moja la kimichezo,hivyo unaweza kuvaa tracksuit na high heels, unaweza kuvaa gauni na sneakers, unaweza kuvaa suti, sneakers na kofia. All in all ni kuchanganya mavazi ya kawaida na ya kimichezo.
ili kutengeneza look kutoka katika kabati lako hapo juu unapaswa kuchanganya nguo za kimichezo na nguo za kawaida, unaweza kuvaa nguo ya kawaida na viatu vya kimichezo au nguo za kimichezo na viatu vya kawaida na accessories za kawaida ili kuweza kupata looks kadhaa za athleisure kama hizi
suit na raba na tshirt au tank top (vest),Leather skirt, shirt na raba, gauni na raba na hoodie kiunoni au kofia kichwani.
Tracksuit na kikoti, tank top na heels, Biker shorts (tights), hoodie na high heels, Sporty dress na high heels
Athleisure ilitrend sana mwaka 2018. The Kardashians ni moja ya celebrities walioikubali na kuipa nguvu sana hii trend, aina hii ya uvaaji ilionekana kama trend tu kwa watu wengine na baadhi walihisi trend hiyo ingekufa mapema but people love comfort so Athleisure is here to stay.
Mbali na the Kardashians, some celebrities na style personalities kutoka Tanzania pia wameonekana kuibali aina hii ya uvaaji mfano ni Elizabeth Michael, Sishkiki na Lavidoz.
Hizi ni looks nyingine za athleisure
Ili kutengeneza looks za kipekee jitahidi kuwa mbunifu na mavazi yako. The rule ni kuchanganya athletic wear (Mavazi ya kimichezo au mazoezi) na nguo za kawaida. I hope umejifunza kitu katika aina hii ya uvaaji na mpaka sasa nina imani umeona kuwa sio style ngeni.
Next time ukimuona mtu ndani ya tracksuit na heels you know what to call it….Style! To learn more about style and elegance follow us on Instagram and YouTube @elegancebyree
Related posts
5 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/fahamu-aina-ya-uvaaji-ya-athleisure/ […]
… [Trackback]
[…] Here you will find 54254 more Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/fahamu-aina-ya-uvaaji-ya-athleisure/ […]
… [Trackback]
[…] Here you can find 17557 additional Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/fahamu-aina-ya-uvaaji-ya-athleisure/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/fahamu-aina-ya-uvaaji-ya-athleisure/ […]
… [Trackback]
[…] Here you can find 92249 more Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/fahamu-aina-ya-uvaaji-ya-athleisure/ […]