SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

FAHAMU JUU YA UNISEX FASHION KARNE HII
Habari

FAHAMU JUU YA UNISEX FASHION KARNE HII 

Fashion kwa miaka Mingi imeendelea kupanukana kwa karne hii ya 21 tumejionea wabunifu wa mavazi duniani wakibuni mavazi kulingana na nyakati na kwa kasi UNISEX ama ANDROGYNOUS fashion and style sense imeanza kushamiri .

Well unisex fashion and style ni mavazi yanayobuniwa na kuweza kuvaliwa na jinsia zote yaani ya wanaume na wanawake. Hii ni kwa mashati, sketi, suruali na hata accessories za mwilini.

Trend hii ilikuwepo tokea zamani laini ilibaguliwa na kuonekana ni kitu cha ajabu ila kwa sasa we see celebrities in it. Icons wa zamani walioisimamisha fashion hii in the fashion industry ni pamoja na wasanii David Bowie, Grace Jones na Prince enzi za miaka ya 60 mpaka 80.

Grace Jones 

Kwa sasa mastaa kama Jaden Smith, Migos, Cara Delevigna na Kristen Stewart wameonekana ndani ya style na fashion trends ambazo ni UNISEXUAL ama ANDROGYNOUS.

Jaden Smith

Cara Delevigna
Kristen Stewart

Kwa sasa kuna trends mablimbali ambazo ni unisexual ambapo kwa baadhi ya wakaka na wadada mnaweza kuzirock na bado kupendeza ila wengi bado hawazikubali na kuziona ni mavazi ya watu aina ya LGBTQ

ACCESSORIES

Kuna male head pieces, chokers, bracelets of which hata wadada pia wanazo na huvaa. Pia clutches na mikoba, ipo amabyo jinsia zote wanaweza tumia. Barani Afrika, mbunifu kama Maliko (@maliko_ng) toka nchini Nigeria ameonekana wakitengeneza hivi.

Unisex Rings 

Unisex Bags

VIATU

Hapa tuna sandals na boots ambazo both men and women can rock bila wasiwasi. Afrika, wabunifu kama Maliko toka Nigeria hubuni viatu hivi. Pia hata katika red carpets Hollywood tumejionea wadada wakivaa men’s shoes nab ado kupendeza na kubakia sexy.

NGUO

Hapa kuna trends na pieces ambazo tumejionea hasa mastaa hasa toka Hollywood na wachache Tanzania wakivalia mfano sketi kama KILTS, jumpsuits, lace shirts na rompers kwa wakaka, jeans ambazo both guys and girls can wear, mashati ambapo kwa wadada kuna boyfriend shirts na pia suti kwa wadada zikiwa na a bit of a men’s touch.

Je nini maoni yako? Waweza rock trend hii?

Related posts

4 Comments

  1. 24 hour

    … [Trackback]

    […] There you can find 69813 more Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/fahamu-juu-ya-unisex-fashion-karne-hii/ […]

  2. buy golden teacher mushroom online tool,

    … [Trackback]

    […] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/fahamu-juu-ya-unisex-fashion-karne-hii/ […]

  3. wonka bar strain

    … [Trackback]

    […] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/fahamu-juu-ya-unisex-fashion-karne-hii/ […]

  4. Burmese albino mushrooms,

    … [Trackback]

    […] There you can find 62457 more Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/fahamu-juu-ya-unisex-fashion-karne-hii/ […]

Comments are closed.