SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mitindo

Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize 

Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery )

Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu wa hili vazi @jaystyles_tz, ambae ametueleza kirefu kuhusu hili vazi

Afroswagga: Idea ya uma,visu na vijiko ilitokana na nini?

Well tumeona amefanya interview na Bona Tv ambapo amesema nguo imegharimu maximum Milioni tatu na set set 4 za vijiko, visu na uma, jumla set 12 kwa vyote ambapo kwa pamoja vinakuwa vijiko 48, uma 48 na visu 48 hadi vazi kukamilika vyote kwa pamoja vinakuwa 144. Lakini pia vazi limechukua siku nne kukamilika.

Well Afromates nini maoni yako kuhusu vazi hili la Harmonize?

Related posts

6 Comments

 1. psychedelic mushroom chocolate bars legal in florida

  … [Trackback]

  […] Find More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/fahamu-zaidi-kuhusu-vazi-la-vijiko-kutoka-kwa-harmonize/ […]

 2. Pineapple Pound Cake 1g Diamonds

  … [Trackback]

  […] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/fahamu-zaidi-kuhusu-vazi-la-vijiko-kutoka-kwa-harmonize/ […]

 3. arab bbw anal cam

  … [Trackback]

  […] Find More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/fahamu-zaidi-kuhusu-vazi-la-vijiko-kutoka-kwa-harmonize/ […]

 4. Bubble Tea

  … [Trackback]

  […] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/fahamu-zaidi-kuhusu-vazi-la-vijiko-kutoka-kwa-harmonize/ […]

 5. Buy Blue Meanie Mushrooms Online (Panaeolus Cyanescens)

  … [Trackback]

  […] Find More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/fahamu-zaidi-kuhusu-vazi-la-vijiko-kutoka-kwa-harmonize/ […]

 6. 티비위키

  … [Trackback]

  […] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/fahamu-zaidi-kuhusu-vazi-la-vijiko-kutoka-kwa-harmonize/ […]

Comments are closed.