Seems like watu maarufu kutoka Tanzania kwa sasa wanakuwa sana inspired na mwanadada Beyonce, Ikiwa tumemuona mwanadada Hamisa akiwa ame-mchannel Beyonce kwenye red cleavage high slit dress.
Safari hii tumemuona mbunifu Mahumes na mwanadada Fahyma wakiwa wame re-create Beyonce’s look ambayo aliivaa katika birthday ya Diddy.
Beyonce alivaa gauni hili na open sandals nyeusi, gloves, bangili, pete , hereni na miwani huku akimalizia na messy hair.

Wakati Fahyma yeye alivaa hii gauni na platform heels, blonde hair, gloves, bangili, pete na hereni.

Well Afromates Je Mahumes na Fahyma wamepatia hii gauni na yapi maoni yako kwa wabunifu wetu wanao kuwa inspired na wabunifu wengine?

Tuandikie maoni yako katika box letu la comment hapo chini.
Related posts
5 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/fahyma-mahumes-recreated-beyonce-kujta-meri-black-embellished-dress/ […]
… [Trackback]
[…] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/fahyma-mahumes-recreated-beyonce-kujta-meri-black-embellished-dress/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/fahyma-mahumes-recreated-beyonce-kujta-meri-black-embellished-dress/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/fahyma-mahumes-recreated-beyonce-kujta-meri-black-embellished-dress/ […]
… [Trackback]
[…] Read More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/fahyma-mahumes-recreated-beyonce-kujta-meri-black-embellished-dress/ […]