SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Fahyvanny Is A Blue Mermaid Serving Looks On A Yatch
Mitindo

Fahyvanny Is A Blue Mermaid Serving Looks On A Yatch 

Socialiate Fahyma (Fahyvanny) amekuwa akitupa looks day after day yaani non stop slayage na leo ametupa look yake ya kumi ambapo amevaa hii corset mermaid blue strapless dress.

Gauni imeshonwa na mbunifu kutoka Tanzani, we must say Fahyma looks gorgeous na mbunifu kajitahidi sana gauni lipo neat upande wa mashono, tumependa kwamba ame match gauni na nywele, makeup nzuri, accessories zimetulia anaonekana kama mermaid.

Lakini wahenga hawakukosea pia waliposema kizuri hakikosi kasoro, gauni ilikuwa na tatizo moja ambapo kifuni tunaona palikuwa padogo, kiasi inaonekana kama imekuwa forced, na pia tumeona kucha ilitoka.

Well tupe maoni yako kuhusu look hii ya Fahyma.

Related posts