Mtumba ni zile second hand things, ina weza kuwa nguo, viatu, vitu vya ndani etc. Ni vile vitu ambavyo vilisha tumiwa kiasi fulani na mtu akaamua kukiuza. Wengi wetu tuna uchukulia mtumba poa poa lakini kumbe kuna faida ambazo unaweza kuzipata katika kushop mtumbani
- Environmental Friendly, mazingira ya kushop mtumbani ni rafiki watu wana kuwa wengi wenye nia moja lakini pia una weza ku donate hizo thrisft kwa sababu tu umenunua bei nafuu (wengi huwa hatutoi msaada vitu tulivyo nunua kwa bei ghali)
- inakupa nafasi ya kufanya DIY kama una taka unique pieces basi mtumbani ndipo penyewe una weza kupata shirt ambayo una weza kuigeuza ikawa gauni au skirt nakadhalika ni wewe tu na matakwa yako (nani ana taka kuchana shirt yake ya bei ghali kuwa skirt? hamna right?)
unaweza kupata designer clothes kwa bei nafuu kama uta pata muda wa kukaa na kuchimba kwenye nguo/viatu/mikoba utakuwa suprised kwa kukuta nguo za wabunifu wakubwa kwa bei nafuu, una weza kukuta nguo ya channel inayo uzwa elfu 50,000 wewe ukanunua kwa elfu tano
utakua na unique nguo/wardrobe uki shop katika maduka ya read made utakuta nguo nyingi zina fanana tofauti na mtumba ni mara chache kukuta mtumba unao fanana (kwa wanawake hakuna anae penda kuonekana sawa na mwingine)
Related posts
5 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/faida-za-ku-shop-mtumba/ […]
… [Trackback]
[…] Here you can find 57822 more Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/faida-za-ku-shop-mtumba/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/faida-za-ku-shop-mtumba/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/faida-za-ku-shop-mtumba/ […]
… [Trackback]
[…] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/faida-za-ku-shop-mtumba/ […]