SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Faida Za Kuvaa Vizuri
AfroTipAndTricks

Faida Za Kuvaa Vizuri 

Kuvaa vizuri ni kitu ambacho wengi wetu tunakipenda, mfano mzuri ni mimi ninaeandika hapa naamini ukivaa vizuri basi hata siku yako itakuwa vyema. Hata kama usipopata deal kubwa au kitu kikubwa zile smile na compliment unazozipata kutokana na mavazi yako zinaweka kuifanya siku yako iwe nzuri.

Kuna wengine ambao wanaamini na kuvaa vizuri mpaka uwe unatoka kwenda sehemu tukinukuu “Nipendeze naenda wapi?” Au “Kwani leo sikukuu?” leo tunakupa faida 10 ambazo unaweza kuzipata endapo tu ukivaa vizuri na kupendeza

 • Inasaidia kukufanya u-pay attention to details

Unapokuwa unafanya kitu kwa kukiandaa vizuri na kwa undani zaidi inakusaidia ku-pay attention to details, every detail matters kutoka juu hadi chini utazingatia nini kikae wapi na nini kitoke. Kwa kufanya hivi kwenye mavazi yako sio tu itakusaidia katika mavazi lakini pia hata katika mfumo wa maisha ya kawaida.

 • A Form Of Self Care

Kitu kikiwamuhimu unachukua muda wako kukijali, Kila wakati Unapojitahidi kuvaa vizuri, Ni kama unajiambia mwenyewe kuwa unajali na kwamba maisha yako ni muhimu. Ikiwa unapambana na self-doubt, being too critical with yourself basi kuvaa vizuri ni ukumbusho rahisi wa kila siku kwamba una thamani zaidi na unajithamini.

 • Inasaidia Kujenga Uthabiti

Lets face the fact kwamba ni lazima uvae kitu asubuhi. Hakuna hata mtu mmoja mwenye akili timamu ambaye anaweza kuondoka nyumbani kwao akiwa uchi – kwa hivyo sio kuvaa sio chaguo ni lazima. Kwa kuwa kuvaa ni kitu ambacho itabidi ufanye kila siku katika maisha yako yote – kwa nini usikifanye vyema? Tofauti kati ya kujitupia nguo asubuhi na dhidi ya kupanga mavazi yako vizuri ni kwamba njia moja ya uvaaji inahitaji kujipanga zaidi (Uthabiti) na bidii wakati nyingine haifanyi hivyo. The daily feedback of action-and-reward (outfit planning + feeling good about how you look) can help to make dressing well a habit that sticks!

 • Kuvaa Vizuri Kunasaidia katika Ubunifu Na Uthubutu ( Risk Taking )

Ili kuvaa vizuri utalazimika kunyoosha misuli yako ya ubunifu kutoka kwenye comfort zone yako, hakuna mtu ambae ana wardrobe iliyo perfect bali ni namna ambavyo wanajaribu kutoka nje ya comfort zone kwa ku-mix & match, kujiandaa mapema na mavazi yao, hii inafanya wawetofauti na wengine. Hii process inachukua muda kwahio usiogope kukosea na wala usiogope kutoka nje ya mipaka yako. kunamsemo husema “kukosea ni kujifunza”

 • Kuvaa Vizuri Kunakusaidia Katika Kujiamini

Uthabiti na kujiamini kunaenda bega kwa bega, Je! Umewahi kusikia usemi wa “practice makes it perfect?”. Kitendo uthabiti cha kuhakikisha kila siku unavaa vizuri sio tu kinakusaidia to fine-tune your taste bali pia husaidia kuongeza ujasiri wako kwa sababu utaamini uwezo wako wa kuchagua mavazi maridadi ya kuvaa. Ukiwa umevaa mavazi maridadi unapata hisia za kujiamini hii inakupelekea kuingia popote na kufanya lolote, Consistency breeds security and security breeds confidence

 • Gives You A Feeling Of Accomplishment

People always say that if you win the morning, you win the day. Na ipi njia nzuri ya kushinda siku zaidi ya kuvaa vizuri na kupendeza? Kuna msemo husema kufikia malengo yako ya siku anza na kutengeneza kitanda chako, msemo huu ni sawa na kuanza siku yako kwa kuvaa vizuri. Jiwekee malengo ya kupenda kilasiku na hii utakufanya ujisikie umeshinda lengo moja wapo la siku kati ya mengi uliyojiwekea

 • Kuvaa Vizuri Kunakufanya Ujisikie Na Kuonekana Vizuri

Related posts

6 Comments

 1. YOURURL.com

  … [Trackback]

  […] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/faida-za-kuvaa-vizuri/ […]

 2. สล็อตเว็บตรงไม่มีขั้นต่ำ

  … [Trackback]

  […] Find More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/faida-za-kuvaa-vizuri/ […]

 3. golden teacher mushroom growing stages,

  … [Trackback]

  […] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/faida-za-kuvaa-vizuri/ […]

 4. แทงบอลออนไลน์

  … [Trackback]

  […] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/faida-za-kuvaa-vizuri/ […]

 5. Anavar Kaufen

  … [Trackback]

  […] There you will find 16644 additional Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/faida-za-kuvaa-vizuri/ […]

 6. mushroom shop Portland

  … [Trackback]

  […] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/faida-za-kuvaa-vizuri/ […]

Comments are closed.