SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Fally Ipupa Wore Louis Vuitton Monogram Admiral Jacket That Cost $6,550
I'm A Celebrity

Fally Ipupa Wore Louis Vuitton Monogram Admiral Jacket That Cost $6,550 

Mwanamuziki kutoka Dr Congo, Fally Ipupa alihudhuria katika Tuzo za Afrimma 2019 akiwa amevalia jacket kutoka katika brand ya Louis Vuitton.

Tuliliona jacket hili katika runway ya Louis Vuitton, ikiwa mbunifu Virgil Abloh alipresent his Fall 2019 collection huko mjini paris

Kama kawaida tulitaka kujua ilimgharimu shilingi ngapi kununua hili jacket, Jacket hili lina thamani ya $ 6,550 ambayo ni sawa na Tzs 15,084,650

Fally alivaa jacket hii na t shirt nyeusi, suruali nyeusi akamalizia na viatu vyenye brown na nyeupe miwani na scarf

Afromates je mnaonaje hii jacket ina worth kutumia milioni 15 kuinunua?

Related posts