SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Fashion & Beuty Tips Kutoka Kwa Ms.Storm Liliane Masuka
Mitindo

Fashion & Beuty Tips Kutoka Kwa Ms.Storm Liliane Masuka 

Anaitwa Liliane Masuka ni Media Personality wengi tunamjua kutokana na kipindi chake cha Fashion & Lifestyle kinacho onyeshwa kila Jumatano saa Tatu Kamili Usiku Clouds Tv. Ni moja kati ya vipindi vya fashion tunavyo vipenda hapa Tanzania na Nje kwa sababu mbali mbali lakini mbili kuu ni kwamba tuna produce kipindi lakini pia kwa sababu ni kipindi cha tofauti ukiangalia na vingi vilivyopo Tanzania, Well kujua kwa nini Tune In kila jumatano upate kujionea.

Liliane ni fashion ambassador kwa kuliona hilo na maswali mengi tuliyo yapata kutoka kwenu tumeona tufanye nae mahojiano na kuuliza yale maswali ambayo tunayapata kutoka kwenu ni matumaini yetu mtapata mawili matatu kutoka kwake.

Afroswagga – Fashion ina maanisha nini kwako?
Liliane – Fashion kwangu ni maisha na ,furaha , kuona watu wame vaa wamependeza ,new trendy ,watu kutoka kwenye comforting zone zao ,kuona watu wanajaribu kufanya tofauti  na ilivyozoeleka , watu kuweza kuongea bila vificho juu ya aina Fulani ya mavazi ,Viatu ,Nywele ,make up n.k

Afroswagga – Ukiwa kwenye manunuzi ya mavazi mtumba au dukani vitu gani hasa huwa unaangalia? Eg Quality, Trends etc

Liliane – Pretty much naangalia rangi quality na style ,Mimi sio mtu wa kufata trends Sana .

Afroswagga –  a style tip ambayo you live by (unaitumia mara nyingi).

           Liliane – Less is more !

Afroswagga –   Tutajie pieces tatu ambazo kwako ni muhimu kuwa nazo kwenye kabati lako

           Liliane – A white tee ,black dress , blazer 

Afroswagga -Kama ungepewa nafasi ya kuchagua kabati la mtu yoyote maarufu ungechagua kuchukua kabati la nani?

           Liliane –    Kwa Tanzania ningechukua kabati la Jokate Mwegelo sababu ukiongelea mtu anayejua kukocoordinate Nguo                                  zake katika kila hali,events ,business ,casual etc ,naweza sema habaatishi .

Afroswagga – Upo kiasili (natural) kuanzia ngozi adi nywele unaweza kutuambia tips unazo tumia kufanya ngozi yako iwe nyororo                                   lakini asili na tip yoyote muhimu kwa natural hair 

          Liliane – Hahahhahah fun part is natumia mafuta ya Nazi pure kabisa ,na pia I try to stay away from make up as much                               as  possible ,pia nikitumia make up najitahidi kuwa light. Kama Una natural hair hakikisha zinakuwa                                                 moisturized  most of the time ,Nywele kazi Zinakatika Sana.

Afroswagga- Tutajie fashion trend ambayo huwezi kuijaribu hata siku moja.

          Liliane – ugly shoes trendy ,now Kama unafatilia fashion utaona kuona kuna this trendy ya ugly shoes its a no for me ,                 Afroswagga – kama tukichungulia kwenye handbag yako tutakuta nini?

Liliane – make up kit ,wallet ,na note book (hahahaha hah najua I sound so general )

Afroswagga –  Kama fashion ambassador unajisikiaje ukiona msanii mkubwa ame haribu kuvaa katika mavazi?

Liliane – naonaga kama chuki binafsi kutotaka fashion industry ikue ,cut me some slack how do you even look ugly na stylists plus designers walivyo wengi .

Afroswagga – Tip 3 muhimu za kumwambia msomaji ambazo anaweza kufanya aonekane stylish kila siku.

Liliane – hakikisha you always accessories 

good shoes ni kila kitu

make sure your hair is on point ,nywele inaeza haribu muonekano wako mzima 

usikose storm kila jumatano usiku on clouds TV

Ni matumaini yetu umepata kuambulia japo mawili matatu kutoka kwa Liliane Kuhusu Fashion & Style Unaweza Kumfollow Instagram @lilianemasuka lakini pia usisahau kusoma tips nyingine kutoka kwa fashion blogger & stylist Lehautestyle Hapa

Related posts

5 Comments

 1. hop over to here

  … [Trackback]

  […] Read More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/fashion-beuty-tips-kutoka-kwa-ms-storm-liliane-masuka/ […]

 2. buy cz guns

  … [Trackback]

  […] Read More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/fashion-beuty-tips-kutoka-kwa-ms-storm-liliane-masuka/ […]

 3. Investing in the stock market

  … [Trackback]

  […] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/fashion-beuty-tips-kutoka-kwa-ms-storm-liliane-masuka/ […]

 4. original site

  … [Trackback]

  […] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/fashion-beuty-tips-kutoka-kwa-ms-storm-liliane-masuka/ […]

 5. 늑대닷컴

  … [Trackback]

  […] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/fashion-beuty-tips-kutoka-kwa-ms-storm-liliane-masuka/ […]

Leave a Reply