SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Fashion Blogger Jacqueline Albert Terry Akituonyesha Namna 2 Za Kustyle Blazer
Mitindo

Fashion Blogger Jacqueline Albert Terry Akituonyesha Namna 2 Za Kustyle Blazer 

A coat ni essential ambayo haitakiwi kukosekana katika kabati lako, hasa kile kipindi ungependa kuonekana elegant, official au hata ile mitoko ya business casual coat ina beba asilimia kubwa sana. Well wengi tunajua style moja tu ya kuvaa blazer nayo ni ile ya kawaida lakini kumbe unaweza ku-style blazer yako mara nyingi uwezavyo na fashion blogger kutoka Tanzania Jacqueline Albert Terry ametuonyesha ni namna gani unaweza ku-style blazer/coat  yako

 

  • Namna Ya Kwanza Ni Kulitupia 

Hii ni pale unapo amua kulitupia tu bila ya kuingiza mikono katika coat lako, unaweza kulivaa hivi na suruali, pensi, skirt na hata gauni. Inakupa a effortless slaying look unaonekana wa tofauti lakini pia stylish.

yeye ametumia style hii na coat zake ambazo zina bold colors, kama hii ya orange ambapo alivaa full black outfit akatupia na hii blazer kwa juu

mara ya pili alivaa a pink coar na cut out top, skinny jeans ya blue ambapo alimalizia muonekano wake na open heels nyeusi akaaccessorize na belt akamalizia muonekano wake na pink lipstick ready for a girls night out.

  • Namna Ya Pili 

Ni kuvaa blazer yako kama top huku ukimalizia kufunga na mkanda,

Jacqueline yeye alivaa style hii na long coat yake nyeusi na denim min skirt akamalizia muonekano wake na mini cross-body bag na red heels. We would total rock this outfit to a dinner date.

mara ya pili alivaa style hii na skinny jeans, ame accessorize na glasses, cross-body mini bag na black pumps, hii inafaa katika zile casual business meetings, inakupa a stylish business woman look.

Kama ungependa kutembelea blog yake click hapa lehautestyle.com

Je hii article imekusaidia kujua namna tofauti ya kuvaa koti lako? tuambie katika comment hapo chini.

Related posts