Sonal Maherali ni fashion blogger, youtuber, na fashionista kutoka Kenya, Sonal Maherali ana watoto wanne na anapenda fashion sana, blogger huyu anaweza kufanya chochote na kutoa kiasi chochote kupata akitakacho. her style is anything BUT basic, ana penda luxury things kupitia youtube channel yake Sonal ametupa story ya nini amepitia kuipata hii Hermes Birkin 35 Barenia Handbag.
Kama ni mpenzi wa handbags utajua Hermes ni moja kati ya handbag brands ambazo ni expensive sana, well Sonal aliitaka kama zawadi katika birthday yake na akaipata
Handbag hii ameinunua kwa $16,000/- ambayo sawa na Tsh 36,532,000/- na ipo sold out katika website yao. unaweza kuangalia kwenye video chini akielezea namna a
Related posts
1 Comment
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] There you can find 74487 additional Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/fashion-blogger-sonal-maherali-ametuonyesha-hermes-birkin-handbag-yake-yenye-thamani-ya-milioni-36/ […]