SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Fashion Bloggers Lavidoz And Sarah Langa Chopped $4200 For The Petite Boite Chapeau Louis Vuitton’s Hatbox Bag
Mitindo

Fashion Bloggers Lavidoz And Sarah Langa Chopped $4200 For The Petite Boite Chapeau Louis Vuitton’s Hatbox Bag 

Tulivyoona fashion blogger kutoka Tanzania amebeba hii Petite Boite Chapeau Louis Vuitton’s iconic hatbox bag tukakukumbuka wimbo wa P Square chop my money, The Petite Boite Chapeau Louis Vuitton’s iconic hatbox inauzwa $4200 sawa na shillingi 9,634,380 za ki-Tanzania kama hii bag ni original.

Well we all know kuna tofauti ya bei kati ya Original, Copy & Fake brand staffs,The Petite Boite Chapeau Louis Vuitton’s iconic hatbox bag  ilionekana mara ya kwanza katika runway ya Louis Vuitton Cruise 2018 iliyofanyika Tokyo Japan, toka itoke imeonekana kuvutia watu maarufu mbalimbali wakiwepo fashion bloggers na fashion influencers moja kati ya watu tuliowaona wamebeba bag hii ni pamoja na

Sarah Langa Mackay fashion blogger & influencer kutoka South Africa yeye ameonekana kuibeba bag yake hii mara nyingi lakini hizi ndizo mara mbili ambazo sisi tumependa zaidi namna alivyo style na mavazi yake

Hapa akiwa amebeba bag hii na off white outfit huku akiwa amemalizia na knee boots na statement earrings, that’s how you carry a $4,200/ bag stylish.

Hapa akiwa in animal print outfit, alikuwa ame attend fashion show, we love jinsi ame mix prints na alivyo zi-style na ka-bag.

Kama ambavyo ilivyo kuwa kwa Sarah, blogger kutoka Tanzania Lavidoz nae amestyle bag yake hii mara nyingi lakini kwake pia tumeona hizi mbili ambazo zimetuvutia

Hapa akiwa amebeba bag hii huku amevalia all black outfit na kumalizia na red statement trench coat.

Wakati hapa akiwa amevalia snake print wrap dress na kumalizia na nude mules na miwani.

Let us know your opinion would you make such an investment katika mkoba?

Related posts

3 Comments

 1. psilocybinmushroom chocolate bars

  … [Trackback]

  […] Here you will find 56034 additional Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/fashion-bloggers-lavidoz-and-sarah-langa-chopped-4200-for-the-petite-boite-chapeau-louis-vuittons-hatbox-bag/ […]

 2. เครื่องซักผ้าฝาหน้า ยี่ห้อไหนดี

  … [Trackback]

  […] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/fashion-bloggers-lavidoz-and-sarah-langa-chopped-4200-for-the-petite-boite-chapeau-louis-vuittons-hatbox-bag/ […]

 3. best magic mushroom strains to grow

  … [Trackback]

  […] Find More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/fashion-bloggers-lavidoz-and-sarah-langa-chopped-4200-for-the-petite-boite-chapeau-louis-vuittons-hatbox-bag/ […]

Comments are closed.