SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

FASHION DO & DONT’S #1
Dondoo

FASHION DO & DONT’S #1 

Katika mitindo kuna vitu vingi ambavyo huwa tuna fanya bila kukusudia lakini kumbe kipo wrong, Fashion ni pana sana katika dunia kila mtu ana jicho lake la jinsi anavyo ona kitu ndio maana wengi wetu tuna taste tofauti linapo kuja swala la mitindo kuna mtu ana weza kukwambia mara ya mwisho kuvaa heels ni alipo pokea kipaimara, kwanini?ata kwambia its not my thing lakini kuna wengine flats walizo nazo ni ndala tu za kuogea, Watu tuna tofautiana ila kuna common fashion do and dont’s ambazo hizo kila mtu zina apply kwake

  • Kuvaa kitu kisicho kutosha – Hii ni BIG NO katika ulimwengu wa fashion kama kitu hakikutoshi achana nacho eidha kiwe kikubwa au kidogo, at least kikubwa kama ni nguo una weza kubana lakini kama kiatu tafadhali usijaribu kununua kikubwa kuweka makaratasi mbele its so off fashion na kama kidogo kiache tu you won’t wear them na uki force kitakuumiza tu miguu

  • Kuvaa Kitu Kwa Sababu Tu Kipo On trend – Sote tuna penda kwenda na wakati na sote tuna penda trend lakini si lazima uvae iko kitu kama hakiendani na wewe if it doesn’t go with your flaws achana nacho its not for you of-course ni trend lakini haito kuwa hapo milele na sio kwamba utakufa usipo vaa jifunze ku let it go

  • Heels usizo weza kutembelea – Kama huwezi kutembelea 6 inch vaa unazo weza kutembelea just because Rihanna ana weza haimaanishi una weza pia give it a rest chagua kile kinacho kufaa

Related posts

4 Comments

  1. แอดมินดูแลเพจ

    … [Trackback]

    […] There you will find 87805 additional Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/fashion-do-donts-1/ […]

  2. useful content

    … [Trackback]

    […] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/fashion-do-donts-1/ […]

  3. earn passive income

    … [Trackback]

    […] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/fashion-do-donts-1/ […]

  4. dig this

    … [Trackback]

    […] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/fashion-do-donts-1/ […]

Leave a Reply