Kama wewe ni mwanamama tunajua utakuwa unajua struggle ya kuvua blazia na kupumua wakati manyonyo yako yamelala, ni kero kubwa unakuwa haupo comfortable joto, jasho basi unaamua tu kurudia kuvaa sidiria japo nazo zinaleta joto lakini afadhali yake ni kwamba manyonyo yana kaa sehemu moja, Japo pia ni mbaya unaweza kutokwa vipele vya jasho kwenye maziwa, madonda nakadhalika well hii kampuni imekuletea suluhisho wametengeza hizi Ta Ta Towels ambazo zinasaidia pale unapo kuwa nyumbani na una taka kupumuzika na sidiria
Zinauzwa $45 kama 100,710 hivi za Tanzania
Well kwa wale ambao mpo vizuri na cherehani mnaweza kujishonea wenyewe, kitambaa hakizidi 2000 kwa mita na lastic
Tuambie je mmezipenda au hapana? mnaweza kununua hapa
Related posts
HOT TOPICS
We need to have some sort of bima ila for enjoyment. Yaani wanakata ka % ka mshahara kako unakua na card ukienda se… https://t.co/W9oDoaN2YY
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…