We all have days ambazo unataka kuwa free kuvaa tight pants, leggings na kushow off miili yetu, some huwa wanaamua kutoka hivyo hivyo lakini wanakuwa very uncomfortable na wengine wanaamua kuacha kuvaa kwa sababu ya maungio yako kujichora vibaya hasa mbele, well hizi ndizo njia tatu rahisi za kuweza kufix hili tatizo
- Toilet Paper – Zungusha toilet paper katika vidole vyako vitatu vya kati inategemea ukubwa wa toilet paper unategemea na ukubwa wa tatizo lako kisha baada ya hapo ingiza toilet paper katika jeans yako,leggins au short pant hakikisha una fix vizuri ili isitune tune na kukutia aibu, pia itoe haraka baada ya kurudi nyumbani au kuwa una badilisha mara kwa mara
- pant liners/pad – hii ni njia rahisi zaidi kama kawaida vaa pad yako kisha vaa suruali yako kama unavaa jeans inabidi uvae pad nene kidogo na kama ni leggings au nguo yoyote nyepesi basi medium pad au pant liners ni chaguo bora zaidi
hope tumeweza kukusaidia na njia hizi mbili rahisi kabisa kutatua tatizo lako
Related posts
1 Comment
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/fashion-fix-how-to-get-rid-of-camel-toe/ […]