SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Fashion Fix: How To Wear Side Cutout Dress Without The Bra Saying Hi To Us
Dondoo

Fashion Fix: How To Wear Side Cutout Dress Without The Bra Saying Hi To Us 

Cut out, backless dresses zinaweza kuva very trick katika kuzivaa, huko kwa wenzetu ni machaguo yao makubwa hasa kwenye red carpet

 

lakini huku kwetu yanatengwa sana labda kwa sababu tunakimbia kutokuvaa bra (sidiria) na pia kama utakosea kwa kuvaa bra ambayo sio sahihi unakuwa ume commit fashion crime, as we all know unapo vaa side cut au backless dress basi pale palipo achwa wazi pabaki wazi na sio mkanda au sehemu ya sidiria ionekane haileti taswira nzuri na ina haribu kabisa muonekano wa gauni.

Tumeliona hili kwa msanii na sasa mtangazaji alice_kella, alipokuwa kwenye kipindi chake alivaa hii side cut out yellow dress ambayo ni fupi, kwa bahati mbaya au hakujua nini cha kuvalia ndani ya hili gauni akavalia bra nyeusi ambayo ilitokea kwa pembeni

Alice ame commit fashion crime and we are her to fix it 

Ukivaa gauni kama hizi kuna Bra’s ambazo ni chaguo bora kabisa za kuvalia kama huwezi kuvaa bila brazia zinaitwa strapless backless bra, ni brazia ambazo hazina mikanda wa na nyuma zipo wazi nyingi huwa na gundi pembeni au kwenye maziwa ili kusaidia kuganda au kukaa vizuri ili isianguke

hii ni nzuri pia kama unavaa nguo ambayo mbele ina deep V

hizi pia zinafaa kuvalia side cuts au backless dress

hizi zimetrend sana na zenyewe ni chaguo bora kama huamini zenye gundi hizi zinakamba unafunga mwenyewe

we hope next time ukivaa hili gauni tena hutofanya hii mistake lakini pia ni matumaini yetu tumekusaidia msomaji pia namna ya kuvaa haya magauni, thanks us later

 

Related posts

4 Comments

 1. blog link

  … [Trackback]

  […] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/fashion-fix-how-to-wear-side-cutout-dress-without-the-bra-saying-hi-to-us/ […]

 2. Home Page

  … [Trackback]

  […] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/fashion-fix-how-to-wear-side-cutout-dress-without-the-bra-saying-hi-to-us/ […]

 3. ดีเอ็นเอเบท

  … [Trackback]

  […] Read More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/fashion-fix-how-to-wear-side-cutout-dress-without-the-bra-saying-hi-to-us/ […]

 4. กล้องวงจรปิดเชียงใหม่

  … [Trackback]

  […] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/fashion-fix-how-to-wear-side-cutout-dress-without-the-bra-saying-hi-to-us/ […]

Leave a Reply