Wote kwa pamoja ni wanamuziki,waigizaji lakini pia ni fashion lovers, Rihanna na Kelly Rowland are fashion goals linapo kuja swala la fashion duniani, kila mmoja wao ana styles zake tofauti zinazo wavutia wengi wameonekana kutupa fashion fix moja kwamba unaweza kuweka heels pembeni na kuvaa ball gown na sneakerz, well we all need this kuna wakati unachoshwa na heels lakini utafanyaje inabidi uvae kwa sababu tu umevaa ball gown hit hutokea mara nyingi watt tunatoka kwenye party na heels mkononi, well say no more to that embarrassment, rock the sneakerz & ball gown and be as cool as Rihanna and Kelly Rowland

Kelly Rowland alivaa fluffy ball gown judoka kea mbunifu monsoori, kwa kumuangali Kelly huwezi kudhani kama ndani amevalia sneakerz

But she did wore sneakerz ambazo zilikua rangi ya pink ambayo ili compliment well na her dress na are match na nywele zake

Rihanna yeye alivaa fluffy gown ya blue

ambayo Alivalia na kicks nyeupe, âme accessorize na miwani na saa mwenyewe kwenye caption aliandika Casual sis tunasema cool, well fix it fix it, wakati mwingine unatakiwa uchague kuwa comfortable